Unywaji maziwa bado unasuasua Tanzania Serikali ya Tanzania imesema, usindikaji wa maziwa umeongezeka kutoka lita milioni 75.9 mwaka 2021 hadi Lita Milioni 77.6 kwa mwaka 2022.
Serikali ya Tanzania yatangaza mlipuko wa surua Wizara ya Afya imetangaza mlipuko wa ugonjwa wa surua katika halmashauri saba nchini huku watu 38 wakithibitika kuwa na ugonjwa huo.
Serikali yatanga operesheni tokomeza mifuko ya plastiki Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira imesema kuanzia Jumatatu ya wiki ijayo itafanya operesheni ya kutokomeza mifuko ya plastiki nchini.
Mchakato ubunge Eala washika kasi Mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea watakaoiwakilisha Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki (Eala), umezidi kushika kasi katika vyama mbalimbali vya siasa, vikiwemo vya CCM, ACT-Wazalendo...
Makada 64 CCM wapigana vikumbo ubunge Afrika Mashariki Wiki moja baada ya kufunguliwa kwa pazia la ubunge wa Afrika Mashariki (EALA), wanachama 64 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamejitokea hadi leo Alhamisi, Agosti 4, 2022 kuomba ridhaa ya kuwania...